Blog

Chaguzi za matawini za zidi kupamba moto

Chaguzi za matawini za zidi kupamba moto

Kuelekea Mkutano Mkuu mwaka huu Chama Cha Wafanyakazi Wa Mawasiliano Na Uchukuzi
Tanzania COTWU (T) inazidi kufanya Chaguzi zake za Matawi kwa Haki na weredi kuhakikisha Tunapata Viongozi ambao ni Chaguo la Wanachama lakini Ni Kiungo muhimu kati ya Mwajiri na Chama ili kuhakikisha WAJIBU NA HAKI VINAPATIKANA.
Hili ni tawi lake la U-DART
COTWU TANZANIA MWANACHAMA KWANZA HUDUMA IENDELEE

Related Articles

Our Vision:

The vision of COTWU (T) is to make sure that the interest of all workers in Communication and Transport industries are protected and promoted.

COTWU TANZANIA

COTWU (T) stands for Communication and Transport Workers Union of Tanzania

Work Hours

  • Mon - Wed : 09.00 AM - 20.00 PM
  • Thu - Fri : 09.00 AM - 20.00 PM
  • Saturday : 09.00 AM - 20.00 PM
  • Sunday : 09.00 AM - 20.00 PM